- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
23/04/2025
Kamati ya fedha Utawala na Mipango imetembelea kukagua Miradi ya Maendeleo kamati hiyo iliyoongozwa na Mhe Wilbard Bambara M/kiti wa Halmashauri ya Wilaya ,wajumbe wa kamati hiyo Baadhi ya waheshimiwa Madiwani , Mkurugenzi Mtendaji Wilaya na Wataalam.
Miradi walioitembelea na kukagua ni Majengo yaliyofanyiwa Ukarabati shule ya Msingi Keza yaliyohezuliwa na Upepo Mkali , Madarasa , Mabweni na Nyumba ya Mwalimu Shule ya Sekondari Murubanga pamoja na Nyumba za watumishi Hospitali ya Wilaya Mbuba.
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa