• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

KAMATI YA FEDHA UTAWALA NA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI MBALIMBALI WILAYANI NGARA IKIWA NI SIKU YA PILI TANGU ZIARA HIYO IANZE.

Wakati ilipowekwa: April 21st, 2023

Kamati hiyo ikiwa na Wakuu wa Idara na Vitengo tarehe 21/04/2023 wametembelea Miradi mbalimbali  Iliyopo Wilayani Ili kuiona.

Miradi iliyotembelewa na kamati hiyo  ni  Jengo la upasuaji Kijiji Cha kashinga Kata ya Nyakisasa, Ujenzi wa vyumba 3 na Ofisi kititiza shule ya Msingi, Ujenzi wa vyoo Matundu 14 na Vyumba 2 vya Madarasa Ofisi 1 Keza shule ya Msingi,Ujenzi wa Vyumba 5 vya Madarasa EP4R  shule ya Msingi Rulenge, ujenzi wa Zahanati Rulenge, Ujenzi wa chumba Cha Darasa Shule ya Msingi Murugaragara pamoja na Ujenzi wa Hospital Mbuba Jengo la Mama na Mtoto .

Aidha Mhe Makamu Mkiti Halmashauri ya Wilaya Mhe Adronizi Burindoli alimpongeza na  kumshukuru  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.Samia Suruhu Hassan Kwa kuonyesha upendo mkubwa Kwa wananchi wa Ngara Kwa kuendelea kuleta fedha Kwa Miradi Mbalimbali Wilayani Ngara.

Mhe Makamu M/kiti alimpongezaMbunge wa Jimbo la Ngara Mhe Ndaisaba G. Ruhoro Kwa kuchangia miradi kupitia mfuko wa Jimbo. Mwisho alimpongeza Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike Kwa usimamizi Mzuri.

Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI CHAFANYIKA WILAYANI NGARA.

    May 04, 2023
  • KIKAO CHA WAFANYABIASHARA WILAYANI NGARA PAMOJA NA KAMATI YA MHE WAZIRI MKUU

    May 30, 2023
  • MATOKEO YA JUMLA MICHEZO UMITASHUMTA MKOA WILAYA YA NGARA YASHIKA NAFASI YA TATU KIMKOA.

    May 25, 2023
  • CHAMA CHA WALIMU CHACHANGIA MICHEZO YA UMITASHUMTA NGARA.

    May 16, 2023
  • Tazama zote

Video

LIVE : MAZISHI YA R C O MWENGE, JESHI LATOA HESHIMA YAKE
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa