• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

KAMATI YA FEDHA YAENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: October 29th, 2024

NGARA UPDATES

29/10/2024

Leo  kamati ya fedha ikiongozwa na Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara , Makamu Mkiti  Mhe Adroniz Bulindori na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri wameendelea na ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa fedha 2024/2025 wakiwa pamoja na Waheshimiwa Madiwani na wataalam wa Halmashauri.

Miradi liyotembelewa  na kukaguliwa na kamati hiyo ni 

  1. Kikundi cha vijana uzuri wa utakatifu cha kabanga walipewa mkopo  kutoka mapato ya ndani Tsh  Milion. 25,000,000.00 na wanaendelea kurejesha mkopo huo.
  2. Uendelezaji wa ujenzi wa hospitali ya wilaya kata ya Mbuba ,Jengo la kufulia Jengo la utawala na jengo la mionzi Gharama za majengo Tsh Milion  800,000,000.00 fedha toka serikali kuu ambapo ujenzi upo katika hatua ya upauaji
  3. Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa na matundu 6 ya vyoo Shule ya Msingi Murugaragara  mradi wenye thamani Tsh 113,600,000.00 fedha toka serikali kuu ambapo ujenzi upo hatua ya boma na uchimbaji shimo la choo.
  4. Ujenzi wa shule mpya ya sekondari kata ya Bukiriro Thamani ya mradi Tsh  584,280,029.00 fedha toka serikali kuu mradi upo hatua ya uhezekaji.
  5. Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa na matundu 6 ya vyoo  shule ya msingi Rwinyana mradi wenye thamani ya Tsh 113,600,000.00 ujenzi  umefikia hatua ya upauaji 
  6. Mradi wa Jengo la  utawala la Halmashauri Tsh 3,599,127,670.69 wahisani.

Jengo la ofisi ya Makao makuu ya Halmashauri.



Mhe Adroniz Burindoli akikagua kazi za kikundi cha vijana uzuri Mtakatifu kabanga. kikundi hiki kilipewa fedha ya mkopo toka Halmashauri ya wilaya.


Vijana wakiwa kwenye shughuli za utengenezaji viatu mbalimbali.


Jengo la utawala Hospitali ya wilaya.


Jengo la kufulia hospitali ya Mbuba.


Jengo la Mionzi Hospitali ya wilaya kata ya Mbuba.




Ujenzi wa vyumba vya madarasa 4 Murugaragara  shule ya msingi.


Ujenzi wa shule ya sekondari Mpya kata ya Bukiriro.


Sekondari mpya kata ya Bukiriro


Ujenzi wa vyumba 4 vya shule ya msingi Rwinyana.


Viongozi wakisikiliza taarifa ya ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa shule ya msingi Rwinyana.

KUMBUKA KUPIGA KURA TAREHE 27/11/2024

Ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa