• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

KAMATI YA FEDHA YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO ILIYOFIKIA HATUA MBALIMBALI ZA UTEKELEZAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 ROBO YA PILI -WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: March 11th, 2025

NGARA UPDATES

11/03/2025

Kamati ya Fedha  utawala na Mipango ikiongozwa na Mhe Adronizi Bulindori  Makamu Mkiti Halmashauri ya Wilaya , Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wilaya ,Waheshimiwa Madiwani wa kamati hiyo, wakuu wa Idara na Mratibu wa LADP

Miradi iliyotembelewa 

  1. Jengo la Utawala Makao Makuu Halmashauri ya Wilaya , gharama ya mradi hadi kukamilika ni Tsh Bilioni  3,599,127,670.69 ambalo limefikia hatua ya umaliziaji.
  2. ii Ujenzi wa ukumbi wa kisasa Ngara Garden ambapo hadi kukamilika utagharimu  Tshs Milion  300,000,000.00 Ujenzi upo hatua ya unyanyuaji  Boma  fedha hizo kutoka Mapato ya Ndani Halmashauri ya Wilaya.
  3. iii Ujenzi wa Shule ya Sekondari Amali  kasharazi kata ya Rusumo  ujenzi utakao gharimu Tsh Bilioni 1,600,000,000.00 fedha kutoka Serikali kuu.
  4. Ujenzi wa Mabweni 2 Shule ya Sekondari  Lukole gharama za mradi huo Tsh Milioni 260,000,000.00 fedha toka Serikali kuu  ujenzi unaendelea .
  5. Ujenzi wa Bweni , Jengo la Utawala na ukumbi Shule ya Sekondari Ngara high wenye thamani ya Tsh Bilioni  1,287, 529,910.00 mradi upo hatua ya umalizaji
  6. Ujenzi wa Mabweni 2 Shule ya Sekondari Rusumo gharama za mradi Tsh 260,000,000.00 fedha kutoka serikali kuu  Mradi umekamilika.
  7. Mradi wa ujenzi Soko la Kimkakati  Kahaza kata ya Rusumo . Mradi wenye gharama ya  Tsh  Bilion 2,517,833,024.00 mradi upo hatua ya umalizaji 

Kamati hiyo imesisitiza Majengo ya Utawala, Soko la Mkakati ifikapo tarehe 31/03/2025 Miradi hiyo iwe imekamilika.

Waheshimiwa  Madiwani wakikagua jengo la Utawala Makao makuu Halmashauri ya Wilaya


Kamati ilkpotembelea jengo la utawala Makao makuu


Kamati ilipotembelea mradi wa ujenzi soko la kimkakati kahaza


Kamati wakiwa unapojengwa ukumbi wa kisasa  Ngara Mjini


Kamati ilipotembelea ujenzi wa mabweni Rusumo sec


Mabweni Shule ya Sekondari Rusumo


Mabweni shule ya Sekondari  lukole ujenzi wa Mabweni


Mhe Makamu mkiti H/w Mhe Adronizi Bulindori akielekea shule ya sekondari Amali



Mhe Fabiani  Nigonzoma Diwani kata ya Rusumo akiwa na Mkuu wa Idara ya utawala usimamizi wa Raslimali watu Bi Janifer Mapembe aliyekuwa kaimu Ded wakiangalia Bweni Lukole Sekondari

Ngara kazi inaendelea 

www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2024/2025 WAFANYIKA UKUMBI WA COMMUNITY CENTRE NGARA MJINI

    May 07, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA ABUBAKARI MWASSA AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDEKEO WILAYA YA NGARA

    May 03, 2025
  • MHE HAJJAT FATMA MWASSA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO WILAYA YA NGARA

    May 02, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA MWASSA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA WAFANYAKAZI ZAFANA KIMKOA WILAYA YA NGARA

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa