• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

KAMATI YA FEDHA YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO KIPNDI CHA ROBO YA KWANZA 2024/2025 WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: October 28th, 2024

NGARA LEO

28/10/2024

Kamati ya fedha ikiongozwa na Mkiti wa Halmashauri ya wilaya Mhe Wilbard Bambara na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya imetembelea miradi  ya maendeleo iliyofikia hatua mbalimbali za utekelezaji katika mwaka wa fedha 2024/2025 kwa kipindi cha Robo ya kwanza.

Ziara hiyo ya kamati ya fedha ilishirikisha waheshimiwa madiwani ambao ni wajumbe na wataalam kutoka Halmashauri .

Miradi iliyotembelewa ni

  1. Mradi wa Soko la kimkakati  kahaza kata ya Rusumo  linalojengwa kwa thamani ya tsh Bilion 2,517,833,024.00
  2. Ujenzi wa Shule ya Mpya ya Sekondari ya Amali ya Mkoa  kata ya Rusumo mradi unaojengwa kwa thamani ya tsh Bilion 1,600,000,000.00 fedha toka serikali kuu.
  3. kikundi cha vijana Jua kali Benaco waliokopeshwa Tsh Milion 10,000,000 fedha toka mapato ya ndani na wamerejesha
  4. kikundi cha wanawake Juhudi Junction Ngara mjini waliokopeshwa tsh Milion 15,000,000 fedha toka mapato ya ndani na wamerejesha mkopo wote.

Ziara hiyo itaendelea tarehe 29/10/2024

Waheshimiwa Madiwani na wataalam wakiwa  soko mkakati kanaza kata ya Rusumo.


Soko mkakati kanazawa kata ya Rusumo.


Mratibu wa LADP Ndg Asifiwe Gwihangwe  akitoa taarifa ya ujenzi wa soko hilo.


Soko la kahaza.


Waheshimiwa madiwani wakiwa na wataalam wa Halmashauri eneo inapojengwa shule ya sekondari mpya ya amali kata ya Rusumo.


Ujenzi wa shule ya sekondari ya amali ya mkoa inayojengwa Rusumo wilayani Ngara.


Taarifa ikitolewa  ya ujenzi shule ya sekondari ya Amali.


Kikundi cha vijana waliokopeshwa na Halmashauri Benaco.


Shughuli za vijana uchomeleaji (welding )Benaco 

 www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2024/2025 WAFANYIKA UKUMBI WA COMMUNITY CENTRE NGARA MJINI

    May 07, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA ABUBAKARI MWASSA AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDEKEO WILAYA YA NGARA

    May 03, 2025
  • MHE HAJJAT FATMA MWASSA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO WILAYA YA NGARA

    May 02, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA MWASSA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA WAFANYAKAZI ZAFANA KIMKOA WILAYA YA NGARA

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa