• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA KAGERA YAFANYA ZIARA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: January 28th, 2024

NGARA LEO

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi  Mkoa wa kagera Leo tarehe 28/01/2024 Imetembelea Miradi ya Maendeleo  Wilayani Ngara.

Kamati hiyo ambayo imeongozwa na M/kiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa kagera Alhaj Naziri Mustapha Karamagi akiwa na katibu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Christopher Pallangyo katibu itikadi na uenezi Mkoa Comred Hamimu, akiwemo Mjumbe wa Kamati hiyo Toka Ngara Mhe Issa H.Samma, Bi Hajatt Faidha kainamula Wajumbe wengine na sekritaliety ya CCM Mkoa na  viongozi wa Chama na serikali.

Ambapo ngazi ya Wilaya ilikuwa na Bi Hatujuani Ally Lukali katibu Tawala Wilaya aliyewakilisha Mhe Mkuu wa wilaya, Mkiti wa CCM Wilaya Comred Vitalis Ndailagije, katibu wa CCM Wilaya Bi Anastazia A. Amas mwakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe Ndaisaba Ruhoro, Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wibard Bambara, kaimu Mkurugenzi Mtendaji wilaya,Waheshimiwa Madiwani , kamati ya usalama , Wakuu wa Idara na vitengo na uongozi wa LADP.

Miradi iliyotembelewa ni

1. Ujenzi wa shule Mpya ya Nyaihanga iliyojengwa Kwa thamani yaTsh 348,500,000.00 = kupitia programu ya BOOST.

2. Kituo Cha Afya Lukole ambapo gharama iliyopangwa katika utekelezaji Mradi huo TShs 729,379,882.00 = na Mradi umekamilika pia kituo hicho kilipokea vifaa vyenye thamani ya Tsh  301,746,000.00=

3. Ujenzi wa miundombinu ya kidato Cha tano na sita Ngara high school  ambapo Gharama ya Mradi ni TShs 613,100,000 pia Mhe Mkiti wa CCM Mkoa wa kagera Alhaj Karamage alitoa Tsh 1,000,000.00/ = Kwa wanafunzi kwa kufurahishwa fedha hiyo alikabidhiwa Mkuu wa shule hiyo.

4. Mradi kubwa wa maji Rusumo Wenye thamani ya Tsh 3,047,641,964.59 ambapo mkandarasi ameshalipwa TShs 2,607,338,670.00 na kiasi kilichobaki kitalipwa baada ya kumalizika muda wa matazamio .Mradi huo umefadhikiwa na Benki ya Dunia kupitia wakala wake NELSAP ( Nile Equatorial lake Subsidiary Action program).

5. Kituo Cha Afya Rusumo chenye thamani ya Tsh 1,500,825,132.70 pia  kilipokea vifaa  vyenye thamani Tsh 268,034,000.00/=.

6. Ofisi ya ccm Kata Ya Kasulo ambapo Mkiti wa CCM Mkoa  aliweka jiwe la Msingi na kuwachangia Tsh  1,000,000,00/=

Ziara hiyo ya Kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo  Ikiwa ni sehemu Kabla ya uzinduzi wa maadhimisho ya kuzaliwa Kwa Chama Cha Mapinduzi 

Aidha Mwisho Mkiti wa CCM Mkoa Alhaj Naziri M. Karamagi na timu ya viongozi wa Chama na serikali walihudhuria sherehe za uzinduzi wa maadhimisho kimkoa Kata ya Kasulo( Benaco ) Wilayani Ngara  ambapo alihutubia akimpongea Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kuleta fedha nyingi  ambapo wamejionea Miradi mikubwa mizuri  yenye fedha nyingi. Alhaj Karamagi alimalizia Kwa kuwajulisha kuwa kilele Cha  sherehe za CCM  Mkoa zitafanyika Wilayani Muleba.

Mkiti wa CCM  Mkoa wa kagera akiongoza  timu  aliyoambatana nayo Kutembelea Mradi wa shule Mpya ya Msingi Nyaihanga iliyopokata ya Kasulo Wilayani Ngara.


Darasa la Awali shule ya Msingi Nyaihanga.


Mjumbe wa  kamati ya siasa CCM  Mkoa Mhe Issa H.Samma akiwa wamekalia Dawati ndani ya Darasa na Afisa elimu Mwl Enock Ntakisigaye.


Kituo Cha Afya Lukole.


Mkiti wa CCM Mkoa na timu yake wakiwa kituo Cha Afya Lukole.


Mkiti wa ccm Mkoa akiongozwa  kutembelea Shule ya Ngara high school Bi Hatujuani A. Lukali katibu Tawala wilaya  Kwa niaba ya Mhe Mkuu wa Wilaya.


Mkiti wa CCM Mkoa aliongea na wanafunzi wa Ngara high school na akitoa tsh Milioni moja.


Kituo Cha Afya Rusumo ambacho kimetembelewa na kamati ya siasa CCM Mkoa.



Kituo Cha Afya Rusumo.


Yakitolewa maelezo ya kituo Cha Afya Rusumo Kwa kamati ya siasa CCM Mkoa.


Mradi wa maji Rusumo Wilayani Ngara.


Viongozi wakiwa Mradi wa maji Rusumo na kupewa maelezo ya Mradi Ambao imeanza kufanya kazi.


Mradi wa maji Rusumo.


Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa kagera akitembelea Mradi mkubwa wa maji Rusumo.


Wananchi walivyojitokeza katika uzinduzi.

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa