• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

KAMISHINA WA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA TANZANIA AFANYA ZIARA WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: September 5th, 2023

Tarehe 05/9/2023,

Kamishna wa Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya Tanzania Mr Areta Lyimo, katika Ziara yake amefuatana na Viongozi Waandamizi Ndg Florence Kalambi na Ndg Suzan Lyakundi na kupokelewa na Col. Mathias Kahabi Mkuu wa Wilaya ya Ngara,  kwa lengo la kutembelea na kukagua udhibiti wa madawa ya kulevya katika mipaka ya Kabanga na Rusumo.


Ikiwa ni pamoja na kutoa Elimu kwa Kamati za Usalama zilizoko katika Mipaka hiyo ya namna ya Kupambana na kudhibiti dawa za kulevya na Madhara yake,


Sheria zilizopo kuhusu mapambano na udhibiti wa Dawa za kulevya na Ushirikishwaji wa Jamii katika mapambano hayo.


 Akiwa Ofisini kwa DC Ngara Col Mathias Kahabi alifanya mazungumzo ambapo alitoa maelekezo na maagizo Mbalimbali,


 Aidha, Kamishna Lyimo ameagiza Kamati ya Usalama Wilaya kuhakikisha wanasimamia na kudhibiti vijana kutojiingiza kwenye swala la matumizi haramu ya Dawa za kulevya ambapo vijana wengi ambao ni nguvu kazi ya Taifa wanajiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya na kuleta athari kubwa Kijamii, Kiuchumi na Kiutamaduni.


Pia. Kamishna Lyimo, amesisitiza wale wanaojihusisha na dawa za kulevya ikiwemo Bangi operesheni maalum ifanyike ili kuhakikisha watu hao wanapatikana na kuchukuliwa hatua stahiki za kisheria.        


Watu hao ni pamoja na wanaolima, kusafirisha, kuuza na watumiaji bangi mijini na vijijini.


 Mkuu wa Wilaya Mhe . Col Mathias Kahabi amemuahidi Kamishna Areta Lyimo kusimamia na kutekeleza maagizo hayo mapema iwezekanavyo kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Wilaya, Viongozi wa Halmashauri, Viongozi wa Chama Tawala(CCM) Viongozi wa dini Wilayani, Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata na Vijijini, Wenyeviti wa Vijijini na Vitongoji pamoja na Wananchi wote wilaya ya Ngara.


#kazii endelee

www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NGARA YAFANYA VIZURI MICHEZO YA SHULE ZA MSINGI UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA

    May 30, 2025
  • MHE. COL MATHIAS KAHABI DC NGARA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA.

    May 29, 2025
  • NGARA YAENDELEA VIZURI NA MICHEZO YA SHULE ZA MSINGI UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA.

    May 26, 2025
  • MADEREVA WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI ILI KUPUNGUZA AJALI - NGARA

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa