- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
19/01/2026
Kimefanyika kikao cha kamati ya Elimu na Afya katika Ukumbi wa Halmashauri . Kikao ambacho kimeongozwa na Mhe Sitini Alfazi ambaye ni Mkiti wa kamati na katibu Ndg Deograthias Mlandali Mganga Mkuu Wilaya ( Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ) pia Mhe Willibard Bambara M/kiti wa Halmashauri ameshiriki aidha
Kikao hicho kimehudhuliwa na waheshimiwa madiwani pamoja na wakuu wa Idara na Vitengo
Ziliwasikishwa taarifa za idara za utekelezaji wa shughuli kwa kipindi cha robo ya pili 2025/2026 ambazo ni
1. Idara ya Afya ,Ustawi wa Jamii na huduma ya Lishe
2. Idara ya Elimu Sekondari
3. Idara ya Elimu, Awali na Msingi


"Kazi na utu tunasongambele"
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa