- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA LEO
Kimefanyika kikao kazi cha kamati ya fedha katika ukumbi mdogo wa kilimo uliopo Ngara mjini.
kikao kilichoongozwa na Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri na katibu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba G Ruhoro , Makamu Mkiti wa Halmashauri Mhe. Adronizi Bulindori.
kikao pia kimehudhuriwa na wajumbe ambao ni waheshimiwa Madiwani, wakuu wa Idara/ Vitengo pamoja na maafisa Tarafa za Nyamiaga, kanazi na Rulenge, Mursagamba.
Mkiti wa Halmashauri ya wilaya Mhe Wilbard Bambara wakiwa na Mbunge wa jimbo la Ngara Mhe Ndaisaba G Ruhoro pamoja na Makamu Mkiti wa Halmashauri Mhe Adronizi Bulindori kwenye kikao.
Mhe. Fabiani Niyonzima akiwa na Mhe. sudi Mkubila katika kikao kilichofanyika ukumbi wa kilimo ngara mjini.
Afisa Elimu msingi Mwl James ,Mwanasheria wa Halmashauri wakili shafic wakiwa kwenye kikao.
Mhe Sunday Mukozi, Mhe Juliety Ntihisha,Mhe Antonia Bwana na Mhe Mukiza solomon wakiwa kwenye kikao.
Mhe Mukiza Solomon akiwa kwenye kikao.
Mhe Wilbard Bambara akiwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bi Sabra Mwamkenja pamoja na Makamu Mkiti Adroniz Bulindori.
Mkuu wa kitengo cha ukaguzi wa ndani T Ngerangera na Mratibu wa Tasaf.
Maafisa tarafa za Nyamiaga, Rulenge, Mursagamba na kanazi.
Mkuu wa idara ya Biashara , uwekezaji Ndg Privanus katinihila, ,maafisa afya Ndg Emmanuely Msokwa na mansour kalokola.
Mkiti Halmashauri ya wilaya mhe Wilbard Bambara , kaimu mkurugenzi ndg Constantino Msemwa na Makamu mwenyekiti Halmashauri mhe Adronizi Bulindori.
Mhe Wilbard Bambara akiwa na Afisa utumishi wilaya Bi Sabra Mwamkenja pamoja na Makamu Mkiti Adroniz Bulindori.
S
Mhe Laurent Diwani kata ya Nyamagoma akiwa kwenye kikao.
Afisa utumishi wilaya Bi Sabra Mwamkenja akiwa kwenye Kikao
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa