- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
21/05/2025
Kimefanyika kikao cha kamati ya Fedha utawala na Mipango katika ukumbi Mdogo wa kilimo Ngara mjini.
Kikao kilichoongozwa na Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara, pia Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike Washiriki waheshimiwa Madiwani ambao ni wajumbe, wataalam na Maafisa Tarafa.
Katika kikao hicho taarifa mbalimbali zimejadiliwa
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa