- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
30/10/2024
Kimefanyika kikao cha kamati ya fedha,utawala na mipango kikiongozwa na Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya.
Kikao hicho kimefanyika ukumbi wa kilimo Ngara mjini kwa kushirikisha waheshimiwa madiwani ambao ni Mhe Adronizi Burindoli Makamu mkiti Halmashauri, Mhe John Fabiani _ Rulenge, mhe Mkubila Soud -Mursagamba,Mhe Mukiza Byamungu, - Murukulazo,Mhe Kennedy Festo _Ngara Mjini,Mhe Zawadi Cosmas viti maalum Tarafa nyamiaga Mhe Catherine Magurudumu viti maalum tarafa Murusagamba.
Aidha kikao hicho kimehudhuliwa na _wataalam wa Halmashauri pamoja na Maafisa Tarafa za Murusagamba,Rulenge, kanazi na Nyamiaga
Imejadiliwa taarifa ya ziara ya wajumbe wa kamati na wataalam wa Halmashauri pia taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya kwanza 2024/2025.
Waheshimiwa Madiwani wakiwa kwenye kikao
Wataalam wakiwa kwenye kikao
Waheshimiwa Madiwani
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa