- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
15/01/2026
Kimefanyika kikao cha kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira ambapo kikao hicho kimeongozwa na Mhe Niyonzima Fabiani Mkiti wa kamati hiyo na katibu Kaimu. Mkurugenzi Mtendaji wilaya Ndg Josephat Sangatati pia wajumbe baadhi ya waheshimiwa madiwani na wakuu wa Idara
Kikao hicho kimepokea taarifa za utekelezaji wa kazi za Idara na Vitengo kipindi cha robo ya Pili 2025/2026 .
Idara na vitengo Zilizowasilisha ni
1.Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
2.TEHAMA
3.Mawasiliano Serikalini
4.Utamaduni, Sanaa na Michezo
5.Ardhi
6.Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
7.Usafi na taka Ngumu
8.Maendeleo ya Jamii
9.kilimo, mifugo na Uvuvi
10.Biadhara Viwanda na Uwekezaji.
Taarifa hizo zilipokelewa




www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa