• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI WILAYA (DCC) CHAFANYIKA-NGARA

Wakati ilipowekwa: February 23rd, 2024

Ngara Leo

Kimefanyika kikao Cha kamati ya ushauri Wilaya ya Ngara (DCC) Katika ukumbi wa Community Centre uliopo Ngara Mjini.

Kikao hicho kimeongozwa na katibu Tawala Wilaya Bi Hatujuani Ally Lukali* Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya  Col Mathias J. kahabi ambapo  Katibu wa kikao hicho akiwa Ndg. Solomon  Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Wilaya pia kimehudhuliwa na Mkiti wa Halmashauri Mhe Wilbard Bambara, Makamu Mkiti Halmashauri Mhe. Adronizi Bulindori, kamati ya Usalama Wilaya, Waheshimiwa Madiwani , Wakuu wa Idara na Vitengo Vya Halmashauri, Wakuu wa Taasisi za Serikali, na zisizo za Serikali, viongozi wa Madhehebu ya Dini , Maafisa Tarafa, watendaji wa kata.

Kikao hicho kimepitia Rasimu ya bajeti 2024/2025 na mapitio ya Bajeti 2023/2024. ambapo taarifa imewasilishwa na Mkuu Wa Idara ya  Mipango na uratibu Wilaya Ndg Constantine Msemwa Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

Mkiti wa kikao hicho Bi Hatujuani alitoa nafasi Kwa wajumbe  kuchangia pia kutoa ushauri.

Aidha  Maoni ya mapendekezo ya Bajeti Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kutoka Kwa wadau wa Halmashauri yamepokelewa Kwa Maboresho zaidi ya Bajeti hiyo.

Wakuu wa Idara za Elimu Msingi ,Sekondari na utawala ,utumishi na raslimali watu  wakiwa kwenye Kikao  Cha kamati  ya ushauri Wilaya - DCC Kilichofanyika Ukumbi wa Community Centre Ngara mjini.


Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Kikao.


Waheshimiwa Madiwani wakiwa kwenye Kikao kilichofanyika Ukumbi wa Community Centre Ngara mjini.


Mhashamu Baba Askofu Jimbo la Rulenge Ngara Severine  Niyomugizi aliyekaa akiwa kwenye Kikao Cha Kamati ya ushauri Wilaya kilichofanyika  community center Ngara mjini.


Wajumbe wa Kamati ya usalama na viongozi wengine wakiwa kwenye Kikao.


Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye kikao.


Makamu Mkiti Halmashauri ya Wilaya Adronizi Bulindori akiwa na Wakuu wa Idara ya kilimo na Mifugo  Ndg Josephat Sangatati na  Mkuu wa kitengo Cha ukaguzi wa Ndani Ndg T. Ngerangera.




Bi Hatujuani A Lukali katibu Tawala Wilaya( kulia) , Ndg Solomon O Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Wilaya(  katikati) na Mhe Wilbard Bambara Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya( kushoto).

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MAJALIWA AZINDUA MITAMBO YA SHILINGI BILIONI 12.4 KWA AJILI YA WACHIMBAJI WADOGO

    June 26, 2025
  • MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAFANYIKA KITAIFA DODOMA

    June 17, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA UFUNGUZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • KAGERA YAINGIA ROBO FAINALI MICHEZO YA UMITASHUMTA

    June 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa