- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
16/04/2025
kimefanyika kikao cha maandalizi ya maadhimisho ya sherehe ya wafanyakazi mei mosi kimkoa itafanyika wilayani Ngara
Kikao hicho cha maandalizi kimefanyika ukumbi wa moorland Hoteli Ngara Ngara mjini .
Kikao hicho kimeshirikisha viongozi wa vyama vya wafanyakazi Ngazi ya Mkoa na wilaya kwa ujumla maandalizi ya siku hiyo yanaendelea vizuri
Aidha sherehe hizi zitafanyika uwanja wa posta ya zamani Ngara mjini kwa kuanza na maandamano. Mgeni rasmi atakuwa Mhe Hajati Fatma Mwassa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Kikao cha maandalizi ya siku ya wafanyakazi mei mosi kimkoa wilaya ya Ngara
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa