- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
13/03/2025
Makamu Mkiti Halmashauri Mhe Adroniz Bulindori ameongoza kikao hicho cha Majumuisho ya ziara ya kutembelea miradi Mbalimbali ya Maendeleo
Katika kikao hicho kilihudhuriwa na Ndg Constantine Msemwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ,waheshimiwa madiwani ambao ni wajumbe , wakuu wa idara na vitengo vya Halmashauri. Ilielezwa miradi yote iliyotembelewa ni Mizuri na viwango wajumbe walipongeza.
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa