- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
18/03/2025
Kimefanyika kikao kazi tarehe 18/3/2025 kilichoshirikisha Walimu.Wakuu Shule za Msingi zote,Wakuu wa shule za Sekondari zote na Maafisa Elimu kata. Ambapo viongozi waliohudhuria kikao kazi ni Mwl James Ling'hwa Afisa Elimu Msingi, Mwl zacharia Mkumbo Kaimu Afisa elimu Sekondari ,Mthibiti ubora Mkuu wa shule Ndg Benjamini Berinego Mkuu wa Idara ya Utawala na usimamizi wa raslimali Watu Bi Jenifer Mapembe, Maafisa Elimu Utawala Msingi na sekondari, Afisa Utamaduni Bi Frola, Ndg Bahati Adam Afisa utumishi na wathibiti ubora wa Shule.
Lengo la kikao kazi ni kufanya tathmini ya Mwezi baada ya Mrejesho Maelekezo ya kuinua taaluma ufaulu kutoka Mkoani.
Afisa Elimu Msingi Mwl Ling'hwa na Kaimu Afisa Elimu Sekondari Mwl Mkumbo wazungumzia mambo mbalimbali baada uwasilisho wa taarifa za kata kuhusu utekelezaji wa Maelekezo ya kuinua taalum/ ufaulu.
Aidha Mkuu wa Idara ya utawala na Usimamizi wa Raslimali watu Bi Jenifer Mapembe aliongea na watumishi hao mambo
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa