- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
27/08/2025
Kimefanyika Kikao cha tathmini ya Mkataba wa lishe kwa kamati ya lishe Wilaya . Kikao kimehudhuriwa na Kaimu DED Josephat Sangatati , Afisa utumishi Bi Viviani Maruhe, Mganga Mkuu Wilaya Wataalam wa Halmashauri na Viongozi wa Dini.
Kikao hicho kimefanyika ukumbi wa kilimo Ngara Mjini, Ambapo taarifa Mbalimbali za Sekta Mtambuka zilijadiliwa Aidha Wataalam
waliweka Azimio la kuhakikisha kila Mtoto anakula chakula shuleni pia Shule zote zinaongezea virutubishi kwenye chakula.
Washiriki wa kikao kazi cha Lishe
Mganga Mkuu wilaya Dr Deograthias Mlandali na Kaimu mkuu wa idara ya utawala na Usimamizi wa Raslimali watu.
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa