• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

KIKAO KAZI CHA MAELEKEZO KWA MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI CHAFANYIKA UKUMBI WA HALMASHAURI WILAYA YA NGARA

Wakati ilipowekwa: January 30th, 2026

NGARA UPDATES

30/01/2026

Kimefanyika kikao kazi kilichoshirikisha viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ambao ni Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu Bi Jenifer Mapembe, Mkuu wa idara ya Elimu Awali na Msingi Mwl. James Ling’hwa, Kaimu Mkuu wa Idara ya  Mipango Bi Jasmini  Abas Kaimu Mkuu wa kitengo cha Fedha na uhasibu Ndg Israel Bashange na Mkuu wa Kitengo cha  Manunuzi  Bw. Jacob Sona ili kutoa maelekezo mbalimbali kwa Watendaji wa Vijiji .

Maelekezo hayo ni:

1)  Namna ya kujaza na kusimamia  Rejester ya makazi kwa ngazi ya kitongoji

2) Masuala mbalimbali ya Kiutumishi ikiwemo kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma.

3) Utaratibu wa Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo kwa ngazi ya Kijiji

4) Utaratibu wa matumizi na michakato wa Mifumo ya manunuzi ikiwemo mfumo wa  NEST

5) Ukusanyaji wa mapato na Usimamizi wa Fedha kwa ngazi za vijiji

6)Masuala mbalimbali yanayohusu Elimu katika ngazi za Vijiji

Ngara kazi inaendelea

www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • BARAZA LA MADIWANI LAFANYA KIKAO CHA ROBO YA PILI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 WILAYA YA NGARA

    February 03, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    February 03, 2026
  • KIKAO KAZI CHA TATHMINI YA ZIARA ILIYOFANYIKA KATIKA SHULE ZA MSINGI ZILIZOFAULISHA CHINI YA ASILIMIA 50 CHAFANYIKA UKUMBI WA NGARA SEKONDARI

    January 31, 2026
  • KIKAO KAZI CHA MAELEKEZO KWA MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI CHAFANYIKA UKUMBI WA HALMASHAURI WILAYA YA NGARA

    January 30, 2026
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa