- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
20/02/2025
Kimefanyika kikao kazi Cha kupokea na kujadili Mpango wa utekelezaji wa Maagizo ya Mhe Fatma A Mwassa Mkuu wa Mkoa kagera kuhusu Mikakati ya kuinua taaluma Mkoa wa Kagera.
Kikao hicho kimefanyika ukumbi wa Moorland Hoteli Ambapo Mwenyekiti wa kikao hicho alikuwa katibu Tawala Wilaya Bi Hatujuani Ally Lukali.
Kikao hichi kimeshirikisha; Afisa Elimu Msingi Bw James Ling'hwa, kaimu Afisa Elimu Sekondari Bw Zacharia Mkumbo, Wathiibiti Ubora wa Shule, Katibu TSC, Maafisa idara ya Elimu ,Maafisa utamaduni na michezo Pamoja na Maafisa Elimu kata 22.
Kikao kazi kikiendelea Mkuu wa Usalama Wilaya Ndg African Mkude akiongea kwenye kikao kazi hicho.
Washiriki wa kikao kazi cha kuinua taaluma katika ukumbi wa Moorland hotel uliopo Ngara Mjini
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa