- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
15/01/2024
Kimefanika Kikao kazi Cha tathmini ya michezo ya UMITASHUMTA NA UMISSETA Mwaka 2024 pia Maandalizi ya 2025 kimefanyika katika ukumbi wa Bukoba Sekondari Mjini Bukoba. Ambapo Kikao hicho kimeshirkisha Maafisa Elimu Sekondari na Msingi, Maafisa Michezo na Utamaduni wilaya, sekretarieti ya Mkoa TAHOSA NA TAPSHA, waratibu wa michezo mkoa Kagera na Halmashauri zote, waamuzi wa Michezo mbalimbali na Sanaa.
Kikao hicho kimeongozwa na Ndg M .Ligola Afisa elimu Mkoa wa Kagera
Ndg Ligola aliongea katika kikao kazi cha tathmini ya michezo ya umitashumta na Umisseta 2024 na maandalizi 2025.
Ndg Kepha Elias Afisa Michezo Mkoa wa kagera.
Viongozi mbalimbali kutoka wilaya zote za Mkoa wa kagera ikiwemo Halmashauri ya wilaya ya Ngara.
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa