- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
31/01/2026
Leo kimefanyika kikao kazi cha tathmini ya ziara ya Ufuatiliaji wa shule zilizoshaurisha chini ya Asilimia 50 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ngara. kikihusisha maafisa Idara ya Elimu Msingi wakiongozwa na Mwl James Ling'hwa Afisa elimu Msingi, Afisa taaluma Msingi Mwl Johnstone Adonise, Afisa TSC, Wathibiti ubora wa Shule, Maafisa Elimu kata, na walimu wakuu Shule za Msingi.



Ngara kazi inaendelea.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa