- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
16/05/2025
Kimefanyika kikao kazi cha utekekezaji mradi wa afua ya lishe wa kilimo cha Mahindi idara ya kilimo Mifugo na Uvuvi .
Kikao hicho kimefanyika ukumbi Mdogo wa Kilimo.Ngara Mjini Mkabala na Nmb. Aidha kikao kazi kimeshirikisha Maafisa kilimo idara pamoja na kata zote za wilaya ya Ngara.
Kikao kazi kimefunguliwa na Mkuu wa idara ya kilimo , Mifugo na Uvuvi Ndg Josephati Sangatati
Mada zilizofundishwa na kujadiliwa
Aidha Maafisa kilimo kata wameshukuru kwa kupata mafunzo hayo na kuahidi kwenda kufanyia kazi yote waliyokubaliana katika kikao kazi.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa