• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

KONGAMANO LA MIAKA 62 YA UHURU WA TANZANIA BARA LAFANYIKA NA UCHANGIAJI DAMU WILAYANI NGARA.

Wakati ilipowekwa: December 9th, 2023

Leo limefanyika kongamano la miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara pamoja na zoezi la Uchangiaji Damu .

Kongamano na zoezi la Uchangiaji Damu  Yamefanyika katika ukumbi wa community center Mamlaka ya Mji Mdogo Ngara Mjini .

Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru Wa Tanzania Bara KI-WILAYA alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi.

Waliohudhuria kongamano la  Maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru Wa Tanzania Bara  katibu wa chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ngara, Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya,Mbunge, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya,kamati ya Usalama, viongozi wa madhehebu ya dini, Wakuu wa Idara na Vitengo, Taasisi/Mashirika  ya  Serikali na Binafsi, wazee maarufu, chuo Cha Maendeleo ya wananchi Lemela, Skaut, watumishi Mbalimbali wa makao Makuu, wakulima, wafugaji , wafanyabiashara , wanahabari, na Wananchi.

Kauli mbiu ya Maadhimisho  "UMOJA NA MSHIKAMANO NI CHACHU YA MAENDELEO YA TAIFA LETU"

Kaimu katibu Tawala wilaya amesoma taarifa fupi ya wiki ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru Wa Tanzania Bara wilayani Ngara Mkoa wa kagera.

Ambapo shughuli zilizofanyika ni kupamba Ofisi za Serikali Kwa bendera ya taifa, kuwepo Kwa vitabu vya kusaini, uhamasishaji juu ya Maadhimisho kupitia vyombo Mbalimbali vya Habari, kuongea na wazee maarufu/ watumishi wastaafu,kufanyika zoezi kabambe la Usafi na upandaji miti jumla ya miti 7008 imepandwa kata 22 ,kufanyika Kwa matembezi ya kilometa 5, kufanyika Kwa mazoezi ya pamoja AEROBIC, kufanyika Kwa michezo ,kufanyika kongamano / Mdahalo na zoezi ya uchangiaji damu salama.

Aidha zimetolewa shukrani Kwa wadau Mbalimbali  wamechangia vitu Ambao ni Mkurugenzi Mtendaji Wilaya , Ngara oil, Nmb, Galaxy club( kolonery),Ngara famers,Chama Cha walimu,RUWASA,na CARITAS Rulenge.

Katibu wa chama Cha Mapinduzi Bi Anastazia Amas  alisema Tanzania tumepiga hatua kubwa tofauti kubwa wakati tunapata uhuru aidha Alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kazi kubwa anayoifanya awamu ya sita.

Mwakilishi wa Mbunge na Mkiti wa Halmashauri ambaye ni Diwani  Mhe Kennedy staford aliipongeza serikali Kwa hatua kubwa ambayo imefanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi huku akitoa mifano Mbalimbali ya Sekta ya Afya ,Elimu, maji na Barabara Kwa Wilaya ya Ngara.

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike kuwa Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuleta Fedha nyingi Kwa ajili ya miradi ya Maendeleo Kwa wananchi Sekta za Elimu,Afya, maji , Barabara nk.

Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ngara aliendesha Mdahalo/ kongamano huku akitoa tofauti Mbalimbali zilizopo kabla ya uhuru, wakati tunapata  uhuru na baada ya uhuru. Aidha Alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa  kuwaletea Miradi ya  Maendeleo Kwa wananchi , maji, vyumba vya Madarasa Shule za Msingi na Sekondari,umeme , Barabara na vituo vya afya / Hospitali.

Mkuu wa Wilaya Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi  aliye katikati Mgeni Rasmi katika maadhimishoyl ya miaka 62 ya uhuru akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike ,katibu wa Ccm Wilaya Bi Anastazia Amas, kaimu katibu Tawala Ndg Jawadu Yusuph pamoja na viongozi wa madhehebu ya Dini.


Wadau Mbalimbali wakiwa kwenye kongamalo la miaka 62 ya uhuru Wa Tanzania Bara katika ukumbi wa Community center Ngara Mjini.


Viongozi Mbalimbali na wanachi wakiwa kwenye kongamano la miaka 62 ya uhuru Wa Tanzania Bara wilayani Ngara.


Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathis J.kahabi akiwa na Afisa utumishi, Mkurugenzi Mtendaji, katibu wa chama Cha Mapinduzi , kaimu katibu Tawala na Wakuu wa Idara Halmashauri.baada ya Kumaliza kongamano ukumbi wa community center.


Kongamano la miaka 62  ya uhuru Wa Tanzania Bara wilayani Ngara. Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya Mhe Kanali Mathias Kahabi.


Kongamano la miaka 62 ya uhuru Wa Tanzania Bara.


Mkuu wa Wilaya Ngara Mhe Kanali Mathias J Kahabi  akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike kwenye Kongamano la miaka 62 ya uhuru Wa Tanzania Bara ukumbi wa community center.



Mhe Mkuu wa Wilaya  Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi akiwa na kamati ndogo ya uratibu wa wiki ya Maadhimisho.





Zoezi la Uchangiaji Damu limefanyika eneo lililofanyika kongamano la miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara.

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa