• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

_MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MUUNGANO YAFANYIKA KWA KISHINDO WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: April 26th, 2023

Maadhimisho ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kiwilaya zilianza Tarehe 17/04-26/04/2023 .Kwa kufanya shughuli Mbalimbali.


Shughuli zilizofanyika ikiwa ni kupamba Ofisi za Serikali Kwa Bendera ya Taifa, na kuwekwa picha za viongozi waasisi wa Muungano ,picha  ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na vitabu vya kusaini viongozi ,Wananchi Ofisi za Mhe Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya .


 Katika Maadhimisho hayo lilifanyika zoezi la upandaji miti ambapo viongozi walipanda miti 25 Maeneo ya  ofisi za Mhe Mkuu wa Wilaya ,Halmashauri , uhamiaji na Magereza Ngara mjini.Aidha miti 268 imepandwa na wananchi.


Zoezi la usafi wa Mazingira lilifanyika  Kwa viongozi na wananchi kufanya usafi maeneo ya Sokoni ,Stendi Ngara Mjini na Nakatunga ambapo walijitokeza viongozi wa Serikali,Taasisi,wafugaji,wafanyabiashara wananchi kujumuika na Mhe Mkuu wa Wilaya Ngara Kanali Mathias Kahabi, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Constantine Msemwa, Kaimu katibu Tawala  Ndg Jawadu Yusuph kufanya usafi.


Zoezi la uandishi wa Insha lilifanyika Kwa Shule za Msingi na Shule za Sekondari,na kuwasilishwa mkoani

Aidha yalifanyika Mahojiano maalum  MUUNGANO wetu kupitia Radio kwizera na kaimu katibu Tawala Wilaya alishiriki,pia Wazee maarufu walishirikishwa na kurekodiwa kupitia Halmashauri .


Siku ya kilele tarehe 26/04/2023 yalifanyika matembezi ya km 6.5 kuanzia uwanja wa Posta ya zamani Hadi Buhororo na kurudi ambapo matembezi yalipokelewa na Mgeni Rasmi kaimu Katibu Tawala wilaya aliyemwakilisha Mhe Mkuu wa Wilaya .


Ilitembekewa miradi 9 yenye thamani ya Tsh 1,184,909,428.8 ambapo zoezi  lililoongozwa na Mhe Mkuu wa Wilaya Kanali Mathias kahabi na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon kimilike miradi hiyo ni Vyumba 5 vya Madarasa Rulenge, Hospitali ya Wilaya jengo la mama na mtoto,Nyumba ya Mtumishi Mkurugenzi Mtendaji,Matengenezo ya Barabara km 1.1 Murugalama mabawe, Matengenezo makalvati ya zege km 2 Kabanga -kasange,Matengenezo ya sehemu korofi km 4 changalawe na makalvati, na ujenzi wa Daraja katika Barabara ya kilinzi- Mursagamba ,Mtakuja -Rulenge Sokoni


Yalifanyika mazoezi ya viungo Aerobic na michezo mbalimbali ya Kuvuta kamba watumishi serikali vs watumishi NMB, soka wanawake Ngara Queen vs Moonshine   ,Soka wanaume watumishi Serikali vs Viongozi wa madhehebu ya Dini zawadi zilitolewa Kwa washindi wa Soka.


Shughuli za michezo zikiendelea lilifanyika zoezi la uchangiaji Damu salama wananchi 85 walijitokeza kuchangia benki ya Damu salama ambapo jumla ya unit 83 zilipatikana.Upimaji Magonjwa mbalimbali ambapo wananchi 189 walipima Magonjwa ya shinikizo la Damu,kisuari na UKIMWI.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa