- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
26/04/2025
Yamefanyika maadhimisho ya Sherehe za Muungano kiwilaya Ngara Mjini. Maadhimisho hayo yamefanyika kwa kufanya kongamano, kupitia vyombo vya habari kuwahoji wazee maarufu,uandishi wa insha kwa shule za sekondari. Kufanya jogging na mazoezi ya pamoja, michezo ya asili kuvuta kamba ,Kufanya usafi hospital ya Nyamiaga na kupanda miti.
Mgeni Rasmi alikuwa Mhe Col.Mathias Julius Kahabi Mkuu wa Wilaya ya Ngara pia walishiriki Ndg Solomon kimilike Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya. Bi Hatujuani Ally Lukali katibu Tawala wilaya. Kamati ya usalama, wataalamu wa Halmashauri,Taasisi mbalimbali na wana nchi walijitokeza.
Kauli mbiu "MUUNGANO WETU NI DHAMANA,HESHIMA NA TUNU YA TAIFA: SHIRIKI UCHAGUZI MKUU MWAKA 2025"
MHE. COL. MATHIAS J. KAHABI AKIPANDA MTI KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MUUNGANO KIWILAYA
Viongozi mbalimbali washiriki Maadhimisho ya Sherehe za Muungano kiwilaya
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Ndg Solomon kimilike Akipanda mti ikiwa ni kumbukumbuya sherehe Maadhimisho ya Muungano kiwilaya
Katibu Tawala wilaya Bi Hatujuan Ally Lukali akipanda Mti
Viongozi Mbalimbali walijitokeza katika Maadhimisho ya sherehe ya Muungano kiwilaya kwa kufanya shughuli mbalimbali.
Mhe Terri Sophy Tesha Hakimu Wilaya ya Ngara akipanda mti ilikuwa ni kumbukumbu maadhimisho ya sherehe ya Muungano
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya Ndg Solomon Kimilike akiwa na Katibu Tawala wilaya Bi Hatujuani A Lukali katika matembezi baada ya Jogging na mazoezi ya pamoja
Kazi inaendelea Ngara
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa