• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YAFANYIKA KIWILAYA KATA YA NYAKISASA WILAYANI NGARA MKOA WA KAGERA

Wakati ilipowekwa: December 2nd, 2023

Maadhimisho yamefanyika kijiji cha Nyamahwa Kata ya Nyakisasa Wilayani Ngara Mkoa wa kagera.

Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe  Kanali Mathias Julias Kahabi  ambaye  aliiambatana na kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya , kamati ya usalama Wilaya , Wakuu wa Idara na vitengo Halmashauri na viongozi wengine wa Chama na serikali.

Taarifa fupi ya maadhimisho iliwasilishwa na Mratibu wa UKIMWI Wilaya Bi Josephina Lusatira katika eneo la tukio.

Shughuli zilizofanyika katika maadhimisho hayo  kijiji cha Nyamahwa ni ushauri Nasaha na upimaji VVU Kwa hiari, Tohara Kwa Wanaume,Uzinduzi wa klabu shule ya Msingi Nyamahwa ya kupinga UKIMWI na Mimba katika umri Mdogo pamoja na zoezi la kupanda miti ya matunda aina ya Miparachichi ya  kisasa .

Aidha Mkuu wa wilaya Mhe  Kanali Kahabi alisaini hati  ambayo ilikabidhiwa .

Maadhimisho hayo pia yamefanyika kijiji cha Bugarama Kata  Bugarama Wilayani Ngara  Kwa kupima VVU Kwa hiari  na kuchangia Damu salama  chini ya  kampuni ya Tembo Nickel .

Mkuu wa wilaya Mhe Kanali Julius Kahabi aliwashukuru Kwa maandalizi ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani pia vikundi vilivyotumbuiza katika maadhimisho vilitoa ujumbe ulioendana na siku hiyo.

Baada ya maadhimisho hayo Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias Kahabi alifanya mkutano wa Hadhara kusikiliza na kutatua kero Kwa wananchi.

Wananchi wasema kero zao ambazo ziligusa sekta  za Afya, Maji, Barabara ,kilimo na  Mifugo, na Masuala ya uwezesheaji  mikopo Kwa vijana.

Mratibu wa UKIMWI Wilaya  Josephina Lusatira akifaya zoezi la utambulisho katika maadhimisho hayo.


Mkuu wa Wilaya Mhe Mathias Julius Kahabi   akipanda Mti  Ikiwa ni kumbukumbu ya maadhimisho kiwilaya kijiji cha Nyamahwa Kata ya Nyakisasa.



Mkuu wa wilaya Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi akiwa katika picha ya pamoja na Mratibu wa UKIMWI  Bi Josephina Lusatira Kwa niaba ya  Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ,viongozi Afisa tarafa Rulenge na wanafunzi baada ya zoezi la upandaji  Miti.


Mkuu wa wilaya Ngara Mhe Kanali Mathias Julius kahabi akisaini kitabu.


Kikundi Cha sanaaa Cha shule ya Msingi Nyamahwa  wakitumbuiza katika maadhimisho hayo.


Mkuu wa wilaya Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi.


Wananchi waliojitokeza katika maadhimisho kiwilaya kijiji cha Nyamahwa Kata ya Nyakisasa.


Mkuu wa wilaya Mhe Kanali Mathias Kahabi akiongea na wauguzi wapimaji VVU Kwa hiari.


Wananchi wakiwa katika mkutano wa kusikiliza na kutatua kero zoezi lililoongozwa na  Mkuu wa Wilaya Ngara Mhe.Kanali Matias Julius Kahabi.



ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa