- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA HABARI
Yamefanyika maadhisho ya siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika Mamlaka ya mji Mdogo wa Rulenge.
Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya Col Mathias J Kahabi aliyewakilishwa na Afisa Tarafa Rulenge Ndg Stivin Ntakasimba.
Maadhimisho hayo yaliambatana na Burudani mbalimbali katika viwanja vya Rulenge.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa