- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
22/03/2025
Yamefanyika maadhimisho kwa kupanda Miti rafiki na vyanzo kwenye eneo la chanzo cha Maji kumuyange kata ya Nyamiaga, Ambapo Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano ametoa fedha na kujengwa Mradi Mkubwa wa thamani ya Tshs Bilion 1.66.
Washiriki walikuwa kaimu Katibu Tawala Ndg Jawadu Yusuph ambaye alimwakilisha Mhe Col Mathias Kahabi DC Ngara, kaimu Mkurugenzi Mtendaji wilaya Ndg Josephat Sangatati, kamati ya Usalama Wilaya,watumishi wa RUWASA, TFS ambao walitoa Miti zaidi ya 2000, Mhe Diwani kata ya Nyamiaga , viongozi wa kata pamoja na wananchi wa kitongoji cha Kumuyange .
Aidha kaimu katibu Tawala Wilaya aliyemwakilisha Mhe Mkuu. wa wilaya alisisitiza
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa