- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
06/08/2025
Mafunzo kwa Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata yamefanyika ikiwa ni siku ya tatu. katika ukumbi wa Community Centre Ngara Mjini.
Mada mbalimbali zilifundishwa wakianza na marejeo ya mada za siku iliyopita aidha mada zifuatazo zilifundishwa
1. Mazoezi ya kujaza fomu zitakazotumika wakati wa kupiga kura,kuhesabu kura na Kujumlisha Matokeo , na mazoezi ya kujaza kwa vitendo
2. Mapokezi na utunzaji wa vifaa vya uchaguzi
3. Upigaji wa kura ya Rais katka vituo tofauti na kituo ambacho Mpiga kura Alijiandikisha
4. Sheria ya gharama ya Uchaguzi Baada ya mada hizo yalifanyika majadiliano ya mada mbalimbali
Mwisho Mafunzo yalifungwa na Ndg Constantino Masemwa Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Ngara.
www ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa