• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MAFUNZO YATOLEWA KWA VIONGOZI WENYEVITI WA SERIKALI YA KIJIJI/ MTAA, WENYEVITI KITONGOJI NA WAJUMBE SERIKALI YA KIJIJI WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: January 26th, 2025

NGARA LEO 

26/01/2025

Mafunzo hayo yametolewa na viongozi kutoka chuo  cha Hombolo, Lengo kuu la Mafunzo hayo ikiwa ni kuwajengea uwezo viongozii wa serikali ya kijiji/ Mitaa 

Mafunzo hayo yameshirikusha viongozi wa serikali za vijiji / Mitaa kutoka Tarafa za Nyamiaga na Kanazi ambapo mafinzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa shule ya Sekondari Ngara. Aidha wameshiriki Ndg Ally Mikidadi kamanda wa TAKUKURU Wilaya , Ofisi ya Utawala na Utumishi Wilaya Bi Vivian Maruhe, Ndg Bahati Marco na Rutakinikwa Paschal.

Mgeni rasmi katika mafunzo hayo Alikuwa Ndg Solomon Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya  Wilaya.

Mada zilizofundishwa

  • Sheria za uendeshaji wa Serikali za vijiji/Mitaa
  •  muundo wa serikali za vijiji / mitaa, Majukumu ya madaraka vijiji, mitaaa na vitongoji,uongozi bora,
  • Namna ya kuendesha mikutano katika ngazi ya vijiji/ mitaa na vitongoji,
  • Uibuaji na upangaji na usimamizii wa miradi shirikishi ya kijamiii,
  • Namna ya usimamizii na uthibiti wa fedha katika mamlaka ya serikali za vijiji/ mitaa, Namna ya usimamizii wa ardhi na uthibiti wa uendeshaji wa miji,Namna ya kujua masuala mbalimbali ya Mtambuka.

Mafunzo hayo yataende lea tarehe 27/01/2025  Rulenge kwa tarafa za Mursagamba na Rulenge kushiriki mafunzo

Ndg Ally Mikidadi  kamanda wa TAKUKURU Wilaya akiongea  na wanamafunzo katika ukumbi wa shule ya Sekondari Ngara.


Viongozi wa seikali za vijiji/ Mtaa wakiwa kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyotolewa na wakufunzi kutoka chuo cha Hombolo.


Mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wilaya Ndg Solomon kimilike akiwa na viongozi mbalimbali na wakufunzi toka Hombolo kabla ya kuanza mafunzo katika ukumbi wa Ngara sekondari

Kazi inaendelea

www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa