- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
WILAYANI NGARA KWA TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE
Mafunzo haya yameongozwa na mgeni rasmi Ndg. Bahati Marco, mwakilishi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya ngara,
Wakufunzi kutoka chuo Cha serikali za mitaa Hombolo Dodoma,
Viongozii mbalimbali kutoka ofisi za serikali
Ndg. Ally Mikidadi kamanda TAKUKURU,
Ndg.Salehe Karchard ofisi ya UHAMIAJI.
Ndg. Novatus Kaindoa afisa ardhi(W)
Pamoja na timu ya wataalum kutoka halmashauri ya wilaya ya ngara.Kamanda wa TAKUKURU aliwasisitiza wahusika juu ya uadilifu na kuzingatia kanuni za uongozi Bora usiozingatia rushwa na hongo
Afisa UHAMIAJI amesisitiza juu ya madhara yatokanayo na wahamiaji haramu
Afisa ardhi amesisitiza matumizi Bora ya ardhi na kutatua migogoro ya ardhi kwa kuzingatia Haki.
Aidha lengo kuu la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo viongozi waliochaguliwa wa serikali ya vijiji ili waweze kuongozaa kwa weledi, uadilifu na uwajibikaji.
Aidha waendesha mafunzo walimpongeza msimamizi wa ratiba na muendeshaji wa mafunzo Ndg Rutakinikwa Paschal kwa kusimamia ratiba vyema kwa weledi mkubwaa.
Kazi iendeleee
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa