• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MAFUNZO YATOLEWA KWA WENYEVITI WA SERIKALI ZA VIJIJI, VITONGOJI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: January 27th, 2025

NGARA UPDATES

27/01/2025

Mafunzo Ya kuwajengea uwezo viongozi wa serikali za vijiji yamefanyika katika ukumbi wa shule ya Sekondari Rhec iliyopo Rulenge.

Mafunzo hayo yameshirikisha viongozi wa serikali za  Vijiji  toka Tarafa za Murusagamba na Rulenge.

 Mgeni rasmi katika mafunzo hayo alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya aliyewakilishwa na Ndg Bahati Adam (Afisa Utumishi)

Mafunzo yalitolewa na Wakufunzi kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo , Aidha Viongozi Mbalimbali kutoka  Serikali kuu na  wataalam wa Halmashauri walishiriki ambao ni

Ndg. Ally Mikidadi kamanda TAKUKURU Wilaya, Ndg.Salehe Karchard Afisa Uhamiaji Wilaya Ndg. Novatus Kaindoa afisa ardhi Wilaya Pamoja na timu ya wataalum kutoka halmashauri ya wilaya.

Naye katika uwasilishaji mada Kamanda wa TAKUKURU Wilaya aliwasisitiza kwa wanamafunzo juu ya uadilifu na kuzingatia kanuni za uongozi Bora usiozingatia Rushwa .

Aidha Afisa Uhamiaji  alisisitiza juu ya madhara yatokanayo na wahamiaji haramu pia Afisa  ardhi alisisitiza matumizi Bora ya ardhi na kutatua migogoro ya ardhi kwa kuzingatia sheria za ardhi.

Lengo kuu la mafunzo hayo ilikuwa  ni kuwajengea uwezo viongozi waliochaguliwa wa Serikali ya vijiji ili waweze kuongoza kwa weledi, uadilifu na uwajibikaji. Mada mbalimbali zilifundishwa na wakufunzi kutoka Hombolo

Kamanda wa TAKUKURU Ndg Ally Mikidadi akiwasisitiza kwa wanamafunzo  Madhara ya Rushwa  katika Jamii.


Afisa Uhamiaji Wilaya Ndg Salehe akisisitiza wajumbe Madhara yatokanayo na Wahamiaji Haramu.


Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wilaya Ndg Bahati Adamu (Afisa utumishi) akiongea na wanamafunzo katika ukumbi wa Rhec Sekondari.


Wakufunzi wa mafunzo  kutoka Hombolo wakiwa na viongozi mbalimbali  wa Halmashauri katika ukumbi wa Rhec Sekondari.


Afisa utumishi Halmashauri ya Wilaya Ndg Rutakinikwa Paschal akiwakaribisha wawezeshaji Mada kutoka Chuo cha serikali Hombolo Dodoma.

Kazi iendeleee

Ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa