- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
Kutoka Dodoma
17/06/2025
Maonesho ya wiki Ya utumishi wa umma yamefanyika katika viwanja vya Chinangsli Dodoma kuanzia tarehe 16 hadi 23/06/2025.
Mgeni Rasmi katika uzinduzi alikuwa Mhe George Simbachawene waziri wa utumishi
Aidha Mhe Shimbachawene akitembelea banda la Mkoa wa kagera kuona jinsi wanavyotoa huduma kwa watumishi na wananchi .kutatua changamoto za watumishi , vipaumbele katika mkoa na mfumo wanavyotumia katika za mkoa.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa