- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mhandisi wa Ujenzi Wilaya Ndg Simon Mtuka akiwa na kaimu Afisa Mipango Ndg. Labani Idefonce pamoja na Mhandisi Jose kutemile .
Wamefanya Ukaguzi wa Ujenzi Jengo la Utawala Makao Makuu Halmashauri ya Wilaya ya Ngara .Jengo ambalo lipo kwenye hatua ya ukamiliishaji Msingi.
Aidha mwandisi Mtuka amemtaka Msimamizi wa Mradi huo kuongeza nguvu kazi Kwa sababu yupo nyuma ya muda katika utekelezaji wa Mradi huo Mkubwa.
Mhandisi Mtuka akitoa maelekezo Kwa Msimamizi wa Ujenzi.
Mhandisi Mtuka wa kwanza kulia akishauriana na Mhandisi Jose aliye katikati na kaimu Afisa Mipango Halmashauri Ndg Laban Idefonce wa kwanza kushoto.
Mhandisi Mtuka akitoa Maelekezo.
Mhandisi Mtuka akiwa na mafundi wakitembelea eneo lote la Mradi.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa