- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
29/05/2025
Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara alikutana na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Dr Habib Kambanga na kufanya naye mazungumzo mafupi hususan kuimarisha mahusiano mazuri ya yaliyopo kati ya Tanzania na Rwanda ili wananchi wa pande zote mbili waendelee kunufaika na fursa zinazopatikana katika katika maeneo yao.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa