- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
10/04/2025
Mhe Col. Mathias kahabi DC ameshiriki zoezi la usafi ambalo ni Endelevu kwa Wilaya ya Ngara .Ambapo zoezi hilo la usafi hufanyika kila Alhamis kwa kata zote Wilaya ya Ngara
Aidha Mhe Col. kahabi ameongoza kufanya zoezi la usafi kwa kushirikiana na Wananchi Mtaa wa Nakatunga Ngara Mjini
Picha mbalimbali za mhe Col kahabi akiwa na wananchi katika zoezi la usafi.
Kazi inaendelea....
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa