- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA
22/03/2025
Ziara ya kutembelea Miradi ya kijamii ya shirika la Caritas ilifanyika na kushirikisha viongozi ambao ni Ndg Jawadu Yusuph kaimu katibu Tawala, Ndg Victor Mtui Afisa mipango aliyemwakilisha DED, kamati ya usalama wilaya, Ndg Jonas Gwassa Afisa tarafa kanazi , katibu wa Askofu, Bi Eleonora William, Bi Jasmin kutoka Ofisi ya Mipango na Viongozi wa kata za kanazi na Mugoma.
Ziara ya viongozi wa Serikali na shirika la Caritas walitembele kuona Miradi Mbalimbali iliyopo vitongoji vya kanazi ( Mkabenga) ,na Shanga.
Vikundi vilivyotembelewa vinajihusisha na shuguli za kilimo na ufugaji , masuala ya kijinsia , miradi ya Afya na uhifadhi wa mazingira pamoja na kuweka na kukopa.
Miradi hiyo imefadhiliwa na shirika la Caritas Rulenge tangu mwaka 2021 katika kata za kanazi ,Mugoma ,kirushya na Mabawe.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa