- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
02/05/2025
Mhe Hajjat Fatma Abubakari Mwassa Mkuu wa Mkoa wa Kagera amefanya ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo katika wilaya ya Ngara.
Mhe Mwassa ameambatana na Katibu Tawala Mkoa Ndg Stivin Ndaki Mashauri , Viongozi mbalimbali Ngazi ya Mkoa , Mkuu Wilaya Mhe.Col Mathias kahabi , Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Ndg Solomon Kimilike , kamati ya usalama Wilaya na Wataalam wa Halmashauri .
Miradi aliyotembelea na kukagua ni
Aidha Mhe Hajat Fatma Abubakari Mwassa amemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassani kwa kutoa fedha za miradi ya Maendeleo Mkoa wa kagera.
Kituo cha Afya Rusumo alipotembelea kuona ujenzi wa uzio, Barabara
Soko la kimkakati Kahaza Kata ya Rusumo
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa alipotembelea mradi wa ujenzi wa soko la kimkakati Kahaza kata Ya Rusumo
Shule ya Sekondari Amali alipotembelea Mkuu wa Mkoa Mhe Hajat Fatma Mwassa
Mhe Hajat Fatma Mwassa Mkuu wa Mkoa wa kagera akiwa na Katibu Tawala Mkoa Ndg S.Mashauri Ndaki , Mkuu wa wilaya ya Ngara Col Mathias Kahabi, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya Ndg Solomon kimilike na kaimu Afisa Elimu Sekondari Mwl zacharia Mkumbo wakiwa Shule ya Sekondari Amali.
KatibuTawala Mkoa akipanda kuangalia tanki la Maji Kumuyange Nyamiaga
Eng Simon Ndyamukama meneja RUWASA akiwa na Katibu Tawala Mkoa wa kagera S. Mashauri Ndaki
Jengo la utawala Halmashauri Makao Makuu
Mhe Hajat Fatma Mwassa akielekea Jengo la Utawala akiwa na Katibu Tawala Mkoa na Mkuu wa wilaya Col Mathias Kahabi
Mkuu wa Idara ya Utawala na usimamizi Rasilimali watu Bi Jenifer Mapembe kwa niaba ya Mkururugenzi Mtendaji wilaya Ndg Solomon Kimilike akiwasilisha taarifa ya jengo la utawala
Mhe Hajat Fatma Abubakari Mwassa Mkuu wa Mkoa wa Kagera alipotembelea na kukagua ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa kisasa Ngara Garden
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa