- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
12/6/2025
Matokeo ya Jumla kwa wilaya ya Ngara ni yafuatayo; Football nafasi ya 4, volleyball wavulana 4, Basket wavulana 1, Handball wavulana 3, Netball 4, Kwaya 5, muziki kizazi kipya 6.
Kombe moja. Wanafunzi wamechaguliwa 7 kuunda timu ya mkoa na kocha 1.
Aidha shukrani Kwa Mkurugenzi mtendaji Halmashauri Ndg Solomon kimilike kwa uwezesha timu ya wilaya.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa