• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

M/KITI JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA NA MJUMBE WA KAMATI YA KUU CCM TAIFA AFANYA ZIARA WILAYANI -NGARA

Wakati ilipowekwa: March 16th, 2024

NGARA LEO

Mkiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa na mjumbe wa  kamati kuu CCM Mhe Fadhili Rajabu Maganya amefanya ziara ya siku moja Wilayani Ngara .

Mhe Maganya alifuatana na Mkiti wa CCM Mkoa wa kagera Ndg.  Naziri Karamagi, katibu wa CCM na kamati ya siasa wilaya na  Mkoa, pia viongozi mbalimbali wa chama na serikali.

Mhe Maganya ametembelea na kukagua Miradi 5 na kufanya mkutano mkubwa wa hadhara mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge Ngara kwa kusikiliza na kutatua kero za wananchi.

Miradi aliyotembelea ikiwa ni ujenzi wa Jengo la utawala Makao Makuu, Shughuli za TEHAMA, USHONAJI NA UASHI chuo cha maaendeleo ya wananchi Ngara ( Remela FDC) kanazi, Mradi wa maji  Tenki lenye ujazo wa 230,000, Ujenzi wa Hospital ya wilaya Mbuba, na Ujenzi wa vyumba 8  vya shule ya sekondari Mubusoro iliyopo Rulenge.

Aidha Mhe Maganya ametoa Mipira Kwa shule ya Msingi Remela, Shule ya Sekondari Kanazi , na Chuo cha Maendeleo ya wananchi Ngara ( REMELA FDC).

Mhe Fadhiri Rajabu Maganya Mkiti Jumuiya ya Wazazi Taifa  akiwa na Cde Naziri Karamagi  Mkiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa kagera wakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Kutembelea na kukagua  Jengo la utawala Makao Makuu Halmashauri.


Mhe Wilbard Bambara Mkiti Halmashauri ya wilaya, Mhe Ndaisaba George Ruhoro Mbunge Jimbo la Ngara, Bi Anastasia Amasi Katibu wa CCM Wilaya na Mhe Kennedy Festo Diwani Ngara Mjini wakiwa kwenye ziara kukagua Mradi wa ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Halmashauri ya Wilaya.


Mhe Maganya akiongea baada ya ukaguzi wa jengo la Makao Makuu akiwa na mkandarasi, kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Constantino Msemwa, Mkiti wa CCM Wilaya Cde Vitaris Ndailagije.



Mhe col Mathias J Kahabi Dc Ngara akiwa katika Ziara ya Mkiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa chuo cha Remela. Hapo ikisomwa Taarifa ya chuo cha Maendeleo ya wananchi Ngara ( Remela FDC) kabla ya kukagua shughuli za Tehama, ushonaji na uashi.


Chumba Cha TEHAMA kilichotembelewa.


Mhe Maganya Mkiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa alipogawa mpira Kwa kaptein wa timu ya Chuo soka wanawake na kulia ni  Mhe col Julius Kahabi Mkuu wa wilaya.


Mhe Maganya akikabidhi mpira Kwa shule ya Msingi Remela.


Mhe Maganya baada ya kukabidhi mpira Kwa shule ya sekondari Kanazi .kaptain akishukuru kwa niaba ya wanafunzi wa shule hiyo.


Mhe Maganya baada ya Kutembelea Mradi wa maji Kabanga akiwa na Mkiti CCM Mkoa Mhe Naziri Karamagi, Eng Ndyamukama, Mhe Mbunge wa Jimbo la Ngara na Mhe Diwani Kata ya kabanga.


Mwanafunzi mchoraji akiongea mbele ya mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Taifa.





Mhe Maganya akiwa na Col Kahabi Dc Ngara pamoja na Mkiti CCM Mkoa Mhe Karamagi Mradi wa ujenzi wa hospital ya Wilaya.




Mhe Maganya akiwa shule ya sekondari Mubusoro ambapo vyumba 8 vya Madarasa vinajengwa.




Kikundi Cha Sanaa za maonesho utatu Group wakitumbuiza eneo la mkutano wa Hadhara Rulenge baada ya ziara ya ukaguzi wa miradi.








ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa