- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
15/ 05/2025
Mhe Comred Vitaris Ndailagije Mkiti wa CCM Wilaya ameiongoza kamati ya Siasa Wilaya kutembelea Miradi ya Maendeleo ziara iliyoanza tarehe 14/5/2025 kwa Tarafa ya Nyamiaga .
Aidha katika ziara hiyo imeshirikisha Mhe Col. Mathias Kahabi DC, Ndg Constantine Msemwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Meneja TARURA, Meneja RUWASA na Wataalam.
Ziara hiyo imeendelea kwa Tarafa za Kanazi na Rulenge Miradi Iliyotembelewa na kukaguliwa ni
Aidha Mhe Comred Vitaris Ndailagije Mkiti wa CCM Wilaya amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za miradi mbalimbali ya maendekeo wilaya ya Ngara.
Ziara ya kutembelea miradi inaendelea kwa Tarafa rulenge na Mursagamba.

Kamati ya Siasa Wilaya ilipotembelea Mradi wa ujenzi wa Mabweni mawili shule ya Sekondari Muyenzi

Mkiti wa CCM Wilaya Mhe Comred Vitaris Ndailagije akiwa na kamati ya Siasa shule ya Sekondari Mumurama kata ya Bukiriro

Shule ya sekondari Mumurama kata ya Bukiriro

Mhe comred Vitaris Ndailagije mkiti CCM akiwa na Col Mathias J. kahabi Dc Shule ya Sekondari Mumurama

Kamati ya Siasa Wilaya Wakiwa Chuo cha VETA Kinachojengwa Rulenge

Katibu wa wazazi wilaya akijenga chuo cha VETA Rulenge


Ujenzi wa Chuo cha VETA

Mkiti wa CCM Wilaya Comred Vitaris Ndailagije akiwa na Mhe Col Mathias J kahabi DC jengo la Mionzi Hospitali ya Wilaya Mbuba

Kamati ya siasa wilaya wakiangalia vifaa chumba cha upasuaji katika Hospital ya wilaya iliyopo Mbuba

Mkiti wa CCM Wilaya Comred Vitaris Ndailagije akiwa angalia vifaa vya upasuaji Hospitali ya Wilaya Mbuba

Kamati ya siasa wakiangalia vifaa vitanda vya kulaza wagonjwa vipya


Katibu wa CCM Wilaya BI Mariam Amir akiwa katika picha ya pamoja na Mafundi wanaojenga Daraja la Kumwendo kata ya Mbuba

Kamati ya siasa ikiongozwa na Mkiti wa CCM Wilaya wakiwa katika Daraja linalojengwa Kumwendo


Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa H/ Wilaya Akikagua Daraja la Kumwendo

Mkiti wa Wazazi Comred Chrispine Kamugisha na katibu wa ccm Bi Nariam wakiwa linapojengwa soko la mkakati Nzaza kabanga

Mkiti wa CCM wilaya Comred Vitaris Ndailagije akiwa na kamati ya Siasa Wilaya soko mkakati Nzaza kabanga

Kamati ya siasa wakiwa inapojengwa Maabara kituo cha afya Kanazi

Picha ya kamati ya Siasa na wananchi walijitokeza kata ya kanazi ambapo mhe COMRED VITALIS NDAILAGIJE aliongea na wananchi hao.


Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa