• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

M/KITI WA HALMASHAURI AWAONGOZA WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA UTAWALA NA MIPANGO KWENDA KUKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI WENYE THAMANI YA TSH BILION 3.04 RUSUMO WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: January 11th, 2024

M/kiti wa  Halmashauri ya Wilaya ambaye ni Mkiti kamati ya fedha ,utawala na Mipango Mhe Wilbard Bambara akiongoza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Enock Ntakisigaye  Wajumbe wa Kamati hiyo ambao ni Waheshimiwa Madiwani na wataalam wa Halmashauri na wasimamizi  LADP_( Nile Equatorial lake subsidiary Action program).

Mradi huo ambao una thamani ya Tsh Bilion 3.04 upo asilimia 95 na Kwa Sasa Mradi unaweza Kutoa huduma ya maji Kwa wananchi wa Kata ya Rusumo na Kata Jirani.

Kamati hiyo imetembelea  kuona idadi ya miundombinu shirikishi kwenye Mradi huo ambapo imeangalia 

1.Tanki la kupokelewa maji Kutoka kwenye chanzo.

2.Tanki la kupokelea maji na kupeleka kwenye Tanki la kuchanganyia dawa.

3.Tanki la kuchanganyia maji yenye dawa

4.Tanki la kutwamisha uchafu unaobaki in kwenye mchanganyo.

5.Tanki la kuchujia uchafu na Kutoa maji safi

6. Eneo la kuhifadhi tope la uchafu

7. Chemba za kusafishia uchafu

8.Tanki la kupokea maji safi baada ya kuchujwa

9.Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa Lita  230,000

10.Vituo 16 vya kuchotea maji

11. Mabomba ya chuma ya kusafishia maji

12. Jengo la kufunga pampu za kusukuma maji kwenda Tanki la kuhifadhia.

13. Jengo la utawala na maabara

14. Jengo la kuhifadhi kemikali

15. Jengo la walinzi

16. Jengo la kuishi wafanyakazi

17. Jengo la vyoo vya imma

18. Uzio kuzunguka eneo la maradi kwenye chanzo.

Kamati hiyo imekubali kupokea Mradi huo Mapungufu madogo yaliyobaki yafanyiwe kazi haraka lakini wananchi waanze kupata huduma ya maji.

Viongozi wa Kamati ya fedha utawala na Mipango wakiwa kwenye Mradi mkubwa wa Maji Rusumo.


Mhe Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara akiwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Enock Ntakisigaye pamoja na Mhe Sunday Mukozi.


Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara akiongoza kamati kutembelea Mradi Mkubwa wa maji Rusomo wilayani Ngara.


Kaimu Mratibu wa LADP akiwa Wajumbe wa Kamati iliyofika kukagua Mradi huo.


Mhe Mkiti wa Halmashauri Mhe Wilbard Bambara akiwa na makamu wake Mhe Adronizi Bulindori  pamoja Waheshimiwa Sunday mkozi, Mhe Sudi Mkubila, Mhe Antonia, Mhe mukiza Byamungu na kaimu Mkurugenzi Ndg Enock Ntakisigaye kwenye Mradi wa Maji.






Mhe John Fabian akiwa na kaimu Afisa Mipango Ndg Mwakikuti Bonface,pamoja na Mwanasheria wa Halmashauri  wakili Shaffii Abdull.

ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa