- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkoa wa Kagera umeibuka mshindi wa kwanza katika mbio za mwenge wa Uhuru 2024 huku wakifuatiwa na Mkoa wa Dar es Salaam ukishikilia namba 2 na Mkoa wa tatu ni Mkoa wa Simiyu.
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amepokea zawadi ya kikombe kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo tarehe 14 Oktoba, 2024 ambapo zimefanyika shughuli za kuhitimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja na kumbukizi ya miaka 25 ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa