- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
9/05/2025
Ndg Solomon O kimilike Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya amefanya kikao kazi cha Mafundo kwa watumishi wa Makao Makuu Ya Halmashauri.
Kikao hicho alihudhuria Mkuu wa idara ya Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu Bi Jenifer Mapembe pia wakuu wa idara na vitengo vya Halmashauri na watumishi wa Makao Makuu.
Watumishi walimshukuru Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri Ya Wilaya Ndg Solomon Kimilike kwa kakao kazi cha Mafundo kwa watumishi.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa