- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
10/05/2025
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya aliyewakilishwa na Kaimu Mkuu wa idara ya Biashara viwanda na Uwekezaji Ndg Privanus Katinhila.
Kikao hicho pia wameshiriki Mkiti TCCIA Ndg Fredrick Kaboyoka, Kamanda Wiliam Solla Mkuu wa Polisi Wilaya, Ndg Shukrani Patrick Afisa Mapato Halmashauri, Ndg Remigius kawishe Afisa Kilimo na Mifugo.
Aidha wamehudhuria wafanyabiashara wa mazao kutoka kata mbalimbali na Mada zilizofundishwa ni
Nao wafanyabiashara wa mazao wameupongeza uongozi wa Halmashauri ya wilaya inayoongozwa Ndg Solomon Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Wilaya kwa kuwakutanisha katika kikao muhimu ili kupata uelewa mzuri ambapo mada mbalimbali zimetolewa na kujadiliwa kwa kupatiwa ufumbuzi.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa