- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Ngara Ndg.Solomon Kimilike amehimiza kufanya Mazoezi Wafugaji, Wakulima ,Wajasiriamali ameyasema leo baada ya mazoezi ya pamoja Leo Ngara mjini
Mkurugenzi Ndg Kimilike Amesema zipo faida nyingi za kufanya mazoezi ambazo ni;
Kuzuia magonjwa yasiyoambukiza kama saratani, kisukari na mstuko wa moyo ambapo mazoezi husaidia moyo kuwa na kazi rahisi ya kusukuma Damu,
Pia Kudhibiti uzito wa mwili ambapo kufanya mazoezi mwili hupata msisimko Kwa kumaliza mafuta yaliyoganda kwenye mishipa.
Aidha aliendelea Kwa kusema mazoezi hupunguza presha Kwa Kudhibiti mishipa ya Damu alimalizia mazoezi ya pamoja hujenga tabia ya ushirikiano,upendo, undugu na uzalendo. Pia kujenga mahusiano,uelewa na mshikamano.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa