- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
07/05/2025
Mkutano wa Baraza la Madiwani Robo ya tatu 2024/2025 umefanyika Ukumbi wa Community Centre Ngara Mjini Ambapo Mkutano huo umehudhuriwa na Waheshimiwa madiwani kata zote na waheshimiwa viti Maalum. Pia wajumbe wa Kamati ya Usalama, Mkiti CCM Wilaya Comred Vitas Ndailagije na katibu wa CCM Wilaya, wataalam wa Halmashauri, Maafisa Tarafa, Maafisa watendaji kata, Taasisi Mbalimbali za Serikali na Binafsi
Kikao kimeongozwa na Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya.pia Mkuu wa Idara ya Mipango na Uratibu Ndg Constantine Msemwa ( kaimu Ded) na Mhe Androniz Burindoli Makamu Mkitii H/ Wilaya.
Kikao kimepokea taarifa mbalimbali kutoka kwa wenyeviti wa kamati za kudumu za Halmadhauri ya wilaya ambazo ni
Aidha imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Robo ya tatu kwa mwaka wa fedha 2024
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa