• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MKUU WA MKOA KAGERA AKABIDHI MSAADA KWA WAHANGA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU.

Wakati ilipowekwa: November 13th, 2023

Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Mwassa amekabidhi Msaada wa Kibinadamu wa Chakula na Mahitaji kwa Wananchi wa Wilaya ya Muleba na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Omumwani iliyopo Manispaa ya Bukoba, kufuatia Majanga yaliyowasibu hivi Karibuni.

Msaada huo Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Kitengo kinachoshughulikia Maafa. Wahanga Wamekabidhiwa Mnamo Tarehe 12 Novemba 2023 na Mhe  Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

 Wamekabidhiwa vifaa pamoja na chakula kwa Wahanga wa Mvua na Upepo iliyonyesha Siku chache zilizopita  Mkoa wa kagera Wilaya ya Muleba, na kusababisha maafa pia  Shule ya Wasichana ya Omumwani ikipatwa na Janga la Moto ulioteketeza Sehemu ya Bweni na Mali za Wanafunzi.

"Kipekee Tunashukuru Mama yetu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa msaada huu, na Vifaa vilivyotolewa, Wahusika watavigawa kwa hekima na Busara kulingana na Hali ya Wahitaji, Kipaumbele kiwe kwa wale Wenye Hali Duni zaidi na Wahitaji zaidi, lakini pia Kwa upande wa Shule ya  Sekondari ya Omumwani nimeelekeza Mhandisi kuanza mara Moja Kazi ya Kusanifu na kuona namna ya kurejesha Hali kwa kuanza na Ukarabati wa Mabweni Mawili yaliyopata madhara, wakati tukijipanga Kujenga Mengine mapya Matatu". Amesema Mkuu wa Mkoa  Mhe. Fatma Mwassa

Msaada uliokabidhiwa  kwa Wananchi wa Muleba ni pamoja na Magodoro 150, Blanketi 150, Mikeka 150, Vyandarua 150, Sahani s so150, Madumu ya Maji (Lita 10) 150, Sabuni Boksi 17, Ndoo (Lita 10) 150,  Chakula Tani 23.16

Kwa upande wa Shule ya Omumwani Sekondari, wao wamekabidhiwa Magodoro 60, Blanketi 60, Ndoo (Lita 10) 120, Vyandarua 60, Sahani 60, Vikombe 60, Sabuni Vipande 556.






ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa