- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa Mkoa Kagera Mhe Hajati Fatma Abubakari Mwassa,Amefanya ziara Kutembelea mradi wa kufua umeme wa Rusumo unaofanywa Kwa ushirikiano wa nchi tatu za Tanzania , Rwanda na Burundi ambapo MW 80 zitazalishwa katika mradi huo.
Ambapo watagawana Kila nchi MW 27 na tayari umekamilika unatarajiwa kizinduliwa hivi karibuni.
Aidha Mkuu wa Mkoa wa kagera Mhe Hajati Fatma Abubakari Mwassa ameridhishwa na maandalizi ya Mradi wa Umeme Rusumo wilayani Ngara .
Mhe Mkuu wa Mkoa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.Samia Suluhu Hassan Kwa kukubali yeye na Marais wa Nchi za Jirani Rwanda na Burundi kujenga Mradi Mkubwa wa kimkakati Sehemu ya Tanzania mkoani kagera Wilaya ya Ngara.
Kitengo Cha Mawasiliano serikalini Halmashauri ya Wilaya ya Ngara.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa