• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

MKUU WA WILAYA AENDELEA NA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI WILAYANI NGARA - KAGERA.

Wakati ilipowekwa: December 20th, 2023

Ngara

Mkuu wa Wilaya ya Ngara  Mhe  Kanali Mathias Julius  kahabi ameendelea na ziara ya Ukaguzi wa Miradi.

Mhe Mkuu wa Wilaya katika ziara hiyo   aliambatana na kamati ya Usalama, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndg. Solomoni Kimilike pamoja Wataalam wa halmashauri.

Mhe Mkuu wa Wilaya na timu hiyo  amekagua Miradi wa ujenzi wa Nyumba ya walimu Shule ya Msingi Nyamikono yenye thamani ya Tsh 100,000,000/=, Shule ya Msingi Chamabale Yenye thamani ya Tsh 100,000,000,/= pamoja na Shule ya  Sekondari Mpya ya Murubanga kata ya Nyamagoma Tarafa ya Murusagamba kupitia Mradi wa SEQUIP Kwa Mwaka 2022/2023 wenye thamani ya Tsh 584,280,000.28/=

 Aidha,  Mhe Mkuu wa Wilaya ya Ngara anatoa shukrani  kwa namna ya kipekee pongezi za dhati Kwa Mhe. Dkt  Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kwa kuendelea kutoa fedha za miradi katika wilaya ya Ngara.

Pia anatoa pongezi Kwa Mhe mbunge Jimbo la Ngara ndugu Ndaisaba George Ruhoro, Mkurugenzi mtendaji Ndg. Solomoni Kimilike, M/Kiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilberd Bambara, Waheshimiwa Madiwani kamati ya ulinzi na usalama,Wakuu wa Idara pamoja kamati ya ujenzi Kwa usimamizi mzuri.

Mhe Mkuu wa Wilaya ya Ngara akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi  baada ya kukagua Ujenzi huo unaendelea vizuri.



Mhe Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias J. Kahabi wa katikati akiwa na viongozi Mbalimbali.


Mhe Mkuu wa Wilaya Kanali Mathias J.Kahabi akikagua Maabara.



Mhe Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias J.Kahabi akiwa amekaa na viongozi Mbalimbali kwenye Madawati.


ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa